inashangaza sanaUmaarufu unatafutwa kwa shida sana, hadi watu wanajivika ukike.
Hii imekupanikisha Sana mkuuUna katwa na mizimu
Ukike kwa maana uke au uanaukeUmaarufu unatafutwa kwa shida sana, hadi watu wanajivika ukike.
Sasa ini panikishe kwa nini?, mimi niko naangalia movie hapa why ni mindHii imekupanikisha Sana mkuu
Hamna noma Mimi naanglia music hapa EATVSasa ini panikishe kwa nini?, mimi niko naangalia movie hapa why ni mind
Njoo pm nikwambie kituWanaona wivu mie kumpenda holoholo maana wameangukia 👃Pm 🤭🤭🤭
Mtoto kanielewa huyu