Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Duuh !! Nahne, Mkuu ukizimasta nao Ban ki Moon na UN watakukimbilia fasta "multiMkalimani"Hehehe...... I was just kidding... French na Spanish najua kwa kiasi flani (sio sana). But nataka kuzi master pamoja na lugha nyingine zilizo kwenye list yangu
Ngoja nitalifanyia utafiti hilo"Ya Leiti mungelikijuwa kiTaliano !! mmmmh !! hapo ndo utaamu wa kufa mtu.... Full sexy,romantic,sweety !!
@bansenbyrner
Preta
Duuh !! Nahne, Mkuu ukizimasta nao Ban ki Moon na UN watakukimbilia fasta "multiMkalimani"
Good luck
Kiitaliano kwangu kinaonekana kiko romantic sana, hasa wanavyotamka. Unaweza ukapata demu kwa kuongea tu, tena unaweza ukawa unamsimulia stori za mauaji ila yeye kwa matamshi tu akaona romantic.others wanasema French yeah French is beautiful bt its hard... Spanish ya Mexico ndio inapendwa zaid cz kama imemix na English and the way thy talk.."
Kiitaliano kwangu kinaonekana kiko romantic sana, hasa wanavyotamka. Unaweza ukapata demu kwa kuongea tu, tena unaweza ukawa unamsimulia stori za mauaji ila yeye kwa matamshi tu akaona romantic.
French nakijua kiduchu sana na huwa najaribu kuangalia Ftance 24 English na Tv 5, siwapatagi fresh sana ila lafudhi yao ni nzuri ila haifui dafu kwa kiitaliano ambacho sijui hata neno moja.
Mtazamo wangu.
Exactly !! huwaga wantoa matusi na vikorombezo vyake....Sasa ukitaka kuenjoy.......muitaliano awe kakasirika anagomba.......halooo.....zile fan.....ro.....nini nini madona......utapenda.........
Ola to do bem...?..esta no Mociomboa de praia......Madre...hoje e dia de mulher mozambicano....esse Meninas esta com Kapulanas tas linda bem,esta ir no praia para ver com fiqar com bikinis.....parabens dia de mulher todo qeridas!
Gracias por su interésUsted, simplemente llevar roboto lako la mitumba /matope... De todos modos la bienvenida a bordo !! ha ha haaaaa
Boa tarde como estas...?aqui todo bem so calore de mais....poraaa...
¡Hola amigos! Todo bien? estoy muy bien y ocupada.
¿Qué es nuevo?
Toms bem naõ sei par t
¡Hola amigos! Todo bien? estoy muy bien y ocupada.
¿Qué es nuevo?
Madre Mierda...