Kwa mpangilio uliowekwa wazi, inawezekana. Mikoa ya Songwe na Njombe zinapata mvua ya kutosha na kilimo cha mazao mengi hustawi kwa sana.
Mkoa was Arusha hauwezi kuufikia mkoa wa Njombe hata kidogo hasa kwa upatikanaji wa mahitaji ya msingi, Chakula na ukwasi wa wananchi hasa vijijini.
Mkoa wa Njombe pia una watu wengi waliopata elimu ya mkoloni na hivyo kujua kufanya biashara ya kisasa ya kujiletea maendeleo kuliko Mwanza na Arusha.
Mkoa Njombe pia una biashara kubwa ya miti ya mbao kwa muda mrefu. Jina la Mkoa ni changa lakini Shughuli za kiuchumi sio changa.
Kikubwa sana na tofauti kubwa iliyoonekana waziwazi ni tofauti za kina cha elimu katika maeneo.