lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Wajinga wenzako uvccm jana walikuwa wanaporomosha mvua ya matusi kwa mh Zitto kisa kaonekana anashuka kutoka kwenye mapanga shwaaaa, mbona hukuwakemea?Ww unayeita wenzio wajinga unaakili gani asee.... Muache madharau huna haja ta kumtukana mtu kama akubaliani na hoja zako buddy.
Wewe unapo ni quote mimi unajisumbua maana nilisha kupiga banIla mnapigwa kila siku na hao
Naona MaCCM mmechanganyikiwa.Ww unayeita wenzio wajinga unaakili gani asee.... Muache madharau huna haja ta kumtukana mtu kama akubaliani na hoja zako buddy.
Wachumi wana kitu wanaita "opportunity cost" inayotumika kwenye kufanya maamuzi kama haya ya kununua ndege. Bahati mbaya sisi tunaongozwa na "hekima za mwenyekiti" haijalishi tunapoteza nini kwenye maamuzi kama hayo.Leo hi Mtanzania anyepinga ndege za Magufuli halafu akaonekana anapanda ama anashuka ndani ya Ndege hizo Basi Lumumba B7 watamsema.kwamba alikua anapinga Nini na amepanda Nini.
Hoja ya kuzipinga ndege hizo iko hivi.
Jomba sio kila aliyehumu na anayechangia ni ccm... Ila sio fair kuwaita watanzania wajinga sababu tu wanapingana na ww....Wajinga wenzako uvccm jana walikuwa wanaporomosha mvua ya matusi kwa mh Zitto kisa kaonekana anashuka kutoka kwenye mapanga shwaaaa, mbona hukuwakemea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila mtu ni ccm buddy... Sio fair kuwaita watanzania wajinga wakati huohuo na ww u mtanzania asee.... Ww unawerevu gani ndugu yangu.Naona MaCCM mmechanganyikiwa.
Zitto alisema ununuzi wa ndege ulifata Sheria na taratibu za manunuzi?
Jana Mgombea wenu anaacha kunadi Sera za chama chake ,akanza kumnadi zitto tena bila malipo.
Kama upinzani umekufa,kwanini mnajamba Jamba hovyo.
Mmebaki jijinga wachache sana kwenye nchi hii.
Nyakati zinabadilika aisee,inaonesha Tanzania ya nyakati hizi imekuwa na wajinga wengi kuliko nyakati za kale.
Leo hi Mtanzania anyepinga ndege za Magufuli halafu akaonekana anapanda ama anashuka ndani ya Ndege hizo Basi Lumumba B7 watamsema.kwamba alikua anapinga Nini na amepanda Nini.
Hoja ya kuzipinga ndege hizo iko hivi.
-zimenunuliwa bila kufuata sheria za ununuzi.cash badala ya credit basis.
- Serikali ya Mkapa iliona ni vema kuachana na serikali kufanya biashara,na biashara ya Ndege iliachwa kwa watu binafsi.
Serikali ya Magufuli ilifitini kampuni binafsi za ndege.mfano Fastjet.
-kwa sababu Hakuna Fastjet Sasa watu hawana shirika jingine la ndege hivyo kulazimisha Kupanda ndege za Magufuli pekee.kwa sabahu watu wanahitaji kusafiri.
Ikumbukwe Usafiri wa Ndege haukuanzishwa na Magufuli.
Usafiri ulikuwepo toka Zama za EastAfrika.
Watu wapande ndege gani wakati Kuna shiirika moja tu.
Kulikua Kuna Fastjet, amabyo ilihudumia Watanzania wenye kipato Cha kati.kulikua Kuna sababu gani kuitoa?
Je Ni Watanzania wangapi wanamudu Usafiri wa Ndege? Je ndege Ni kipaumbele muhimu kwa Watanzania wengi?
Je Mkapa alikua mjinga kufanya serikali iachane na biashara na yenyewe ibaki kuchukua Kodi tu?
Hivyo kwa mtazamo wangu naona wanaozipinga ndege za Magufuli wao wanapinga kuanzia mchakato wa kuzinunua,(cash),pili,sio kipaumbele muhimu kwa Watanzania wanyonge,Tatu zimajiendesha kwa hasara .
Wao aaliona Ni Bora fedha iliyoyumika kuzinunua ingejenga mahospitalini na mashule yatakayohudumuia Watanzania wanyonge wengi,nayo biashara ya Ndege wakaachiwa wafanyabiashara na wawekezaji
...........
Huna faidaJomba sio kila aliyehumu na anayechangia ni ccm... Ila sio fair kuwaita watanzania wajinga sababu tu wanapingana na ww....
Sasa kama unasimama mbele ya watu nakusema mwanamke yule hafai, hana faida yeyote alafu kesho unaonekana unaamka kwake tukuiteje kama siyo zwazwa
Wakati magufuli anasema hiyo sekta imeajiri watu million 4Nyakati zinabadilika aisee,inaonesha Tanzania ya nyakati hizi imekuwa na wajinga wengi kuliko nyakati za kale.