Hoja ya Bombadier kutua Bungeni

Bunge gani?!!!
 
Sio huja ya bombadia tu hata ya makinikia pia.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Nyie hamumuwezi Magufuli....
 
nani akulipe, jipe moyo kama wakulipa wangekuwa washalipa zamani
Calculation za madini zina namna yake. Ujue wametulalia muda mrefu. Madini ya kujaa kwenye fuso yanadaiwa kwa umakini wa hali ya juu. Ngoja pesa itoke kwanza
 
MwanahalisionUDAKU...hahaha!

Audi yake mwombee njaa. Lowassa kawadhalilisha hawa watu sio kawaida. Wabaya wake wako busy wanatekeleza maagizo yake na kumsafisha hadharani. Mwanahalisi hoi bin taaban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…