Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,784
- 165,472
Mkuu, kwani unadhani makinikia ndiyo hatutalipa? Bora tujiandae kisaikolojia tuMakinikia ndiyo muhimu bombardier tutalipa tu hakuna namna
Makinikia tunaweza kuwaachia bila kutulipa kitu lakini bombardier tutalipa tu maana tayari tumeanza kulipaMkuu, kwani unadhani makinikia ndiyo hatutalipa? Bora tujiandae kisaikolojia tu
Chanzo eti mwanahamisi online duhHOFU imetanda kuhusu mkutano wa Bunge unaotarajia kuanza kesho kwamba unaweza kutekwa na sakata la kukamatwa ndege ya serikali aina ya Bombadier, anaandika Dany Tibason, Dodoma.
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameanza kuingiwa na hofu na kwamba kuna uwezekano wabunge wa upinzani wakaibuka na kutaka majibu ya serikali kuhusu sakata la ndege hiyo.
Wakizungumza kwa mashariti ya kutokutajwa majina wabunge hao wa CCM wamesema kama Spika wa Bunge, Naibu Spika au wenyeviti hawatakuwa wakali kuzuia hoja hizo Bunge linaweza kuwaka moto.
Baadhi ya wabunge kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wamesema kuwa awali wawakilishi hao walisifu kitendo cha rais John Magufuli kuzui mchanga wa makenikia lakini hili la Bombadier linaweza kuleta shida.
Wamesema Bunge linaweza kutawaliwa na mijadala ambayo inaweza kutokana na upinzani kutaka majibu ya haraka kuhusu sakata la Makinikia, kikao cha majadiliano na wawakilishi wa kampuni ya Barrick waliokuja nchini kuzungumza na sekali pamoja na ndege ya Bombadier.
Amesema kwa sasa wabunge wengi wa CCM ni kama wameisha kata tamaa ya kuendelea kumtetea rais kwa kuwa mambo mengi ambayo yanaibuliwa na wapinzani mengi yanaonekana kuwa ni ya kweli licha ya kupindisha ukweli.
“Kwanza kwa sasa tumeisha tofautiana wabunge wengi hatuana kauli moja wabunge wengine wamekuwa waoga kuongea ukweli kilichobaki ni kulalamikiana,” amesema
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amesema Bunge linaloanza kesho kuna uwezekana likatawaliwa na hoja ambazo zinalenga kujua mstakabari wa taifa.
Kubenea ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kutoka mahakamani ambapo anakabiliwa na kesi ya kudaiwa kumshambulia mbunge mwenziwe wa CCM.
Hivi karibuni mwanasheria mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema ataingia bungeni na hoja mbalimbali ikiwamo hiyo ya kukamatwa ndege ya serikali nchini Canada.
Chanzo:Mwanahalisi online
Maamuzi ya kukurupuka kama yapi mkuu?Maamuzi Ya Kijinga Ya Ngosha Yanaligharimu Taifa Na Bado Anajiona Ni Mzalendo. Ufisadi Sio Wizi Wa Mali Ya Umma Tu, Hata Maamuzi Ya Kukurupuka Yanayopelekea Nchi Ilipe Mabilioni Ni Ufisadi Pia
Hao kina lisu watachomekewa kitu halafu kamati ya Comrade Mkuchi.... inawazua vikao kadhaa,kazi kwisha.UtaonaHOFU imetanda kuhusu mkutano wa Bunge unaotarajia kuanza kesho kwamba unaweza kutekwa na sakata la kukamatwa ndege ya serikali aina ya Bombadier, anaandika Dany Tibason, Dodoma.
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameanza kuingiwa na hofu na kwamba kuna uwezekano wabunge wa upinzani wakaibuka na kutaka majibu ya serikali kuhusu sakata la ndege hiyo.
Wakizungumza kwa mashariti ya kutokutajwa majina wabunge hao wa CCM wamesema kama Spika wa Bunge, Naibu Spika au wenyeviti hawatakuwa wakali kuzuia hoja hizo Bunge linaweza kuwaka moto.
Baadhi ya wabunge kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wamesema kuwa awali wawakilishi hao walisifu kitendo cha rais John Magufuli kuzui mchanga wa makenikia lakini hili la Bombadier linaweza kuleta shida.
Wamesema Bunge linaweza kutawaliwa na mijadala ambayo inaweza kutokana na upinzani kutaka majibu ya haraka kuhusu sakata la Makinikia, kikao cha majadiliano na wawakilishi wa kampuni ya Barrick waliokuja nchini kuzungumza na sekali pamoja na ndege ya Bombadier.
Amesema kwa sasa wabunge wengi wa CCM ni kama wameisha kata tamaa ya kuendelea kumtetea rais kwa kuwa mambo mengi ambayo yanaibuliwa na wapinzani mengi yanaonekana kuwa ni ya kweli licha ya kupindisha ukweli.
“Kwanza kwa sasa tumeisha tofautiana wabunge wengi hatuana kauli moja wabunge wengine wamekuwa waoga kuongea ukweli kilichobaki ni kulalamikiana,” amesema
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amesema Bunge linaloanza kesho kuna uwezekana likatawaliwa na hoja ambazo zinalenga kujua mstakabari wa taifa.
Kubenea ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kutoka mahakamani ambapo anakabiliwa na kesi ya kudaiwa kumshambulia mbunge mwenziwe wa CCM.
Hivi karibuni mwanasheria mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema ataingia bungeni na hoja mbalimbali ikiwamo hiyo ya kukamatwa ndege ya serikali nchini Canada.
Chanzo:Mwanahalisi online
walivyojawa na hofu unadhani watasema nini mkuu hawa watawala, sana sana watadhihaki na kuwakebehi wapinzani, sana sana utasikia ni uzushi waongo na wazandiki, mtukufu anafanya kazi ipasavyo, mie huwa nahisi kutapika kutizama bunge la sasa hivi, hakuna hata ki1 cha wanyonge kuzungumziwa zaidi ya kumsifia mtukufuHOFU imetanda kuhusu mkutano wa Bunge unaotarajia kuanza kesho kwamba unaweza kutekwa na sakata la kukamatwa ndege ya serikali aina ya Bombadier, anaandika Dany Tibason, Dodoma.
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameanza kuingiwa na hofu na kwamba kuna uwezekano wabunge wa upinzani wakaibuka na kutaka majibu ya serikali kuhusu sakata la ndege hiyo.
Wakizungumza kwa mashariti ya kutokutajwa majina wabunge hao wa CCM wamesema kama Spika wa Bunge, Naibu Spika au wenyeviti hawatakuwa wakali kuzuia hoja hizo Bunge linaweza kuwaka moto.
Baadhi ya wabunge kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wamesema kuwa awali wawakilishi hao walisifu kitendo cha rais John Magufuli kuzui mchanga wa makenikia lakini hili la Bombadier linaweza kuleta shida.
Wamesema Bunge linaweza kutawaliwa na mijadala ambayo inaweza kutokana na upinzani kutaka majibu ya haraka kuhusu sakata la Makinikia, kikao cha majadiliano na wawakilishi wa kampuni ya Barrick waliokuja nchini kuzungumza na sekali pamoja na ndege ya Bombadier.
Amesema kwa sasa wabunge wengi wa CCM ni kama wameisha kata tamaa ya kuendelea kumtetea rais kwa kuwa mambo mengi ambayo yanaibuliwa na wapinzani mengi yanaonekana kuwa ni ya kweli licha ya kupindisha ukweli.
“Kwanza kwa sasa tumeisha tofautiana wabunge wengi hatuana kauli moja wabunge wengine wamekuwa waoga kuongea ukweli kilichobaki ni kulalamikiana,” amesema
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amesema Bunge linaloanza kesho kuna uwezekana likatawaliwa na hoja ambazo zinalenga kujua mstakabari wa taifa.
Kubenea ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kutoka mahakamani ambapo anakabiliwa na kesi ya kudaiwa kumshambulia mbunge mwenziwe wa CCM.
Hivi karibuni mwanasheria mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema ataingia bungeni na hoja mbalimbali ikiwamo hiyo ya kukamatwa ndege ya serikali nchini Canada.
Chanzo:Mwanahalisi online
Imeuzwa labda , siku walizotoa za kuishikilia zimeisha.Makinikia ndiyo muhimu bombardier tutalipa tu hakuna namna
nani akulipe, jipe moyo kama wakulipa wangekuwa washalipa zamaniWakamate hata Boeing lakini wajue tukilipwa mpunga wa makinikia tunaweza kununua ndege yoyote au hata shirika lolote la ndege duniani. Na wakicheza tunakuwa na kiwanda cha ndege hapahapa nchini. Tsh Tri400+ si pesa ndogo hiyo
tumbo baba tumbo, we hujasikia yule waziri anakwambia kazi yake bado anaipenda na ana familiaWabunge wa CCM waoga kaa nini sijui.