Wana jamvi
Hivi kwanini ajira za Wafanya kazi wa DART kwenye vituo ni Wasichana na Wanawake Wazuri tu?
Kwa anayebisha nenda kituo chochote angalia wasichana na wanawake utakao wakuta?
Je kulikonii?
Watanzania tuna wanawake na wasichana wazuri tu?
Pili sifurahishwi na speed wanapokaribia Ubungo maji, baada ya kuvuka ubungo mataa, shekilango na mwembe chai inakuwa speed Kali wakati ni maeneo ambayo hajali hutokea Mara kwa Mara watu wengine wengine watoto wengine wana matatizo ya akili kila wakati utasikia break usizotarajia za kustukiza au kukata kona speed kali mpaka bodi ya gari inalalamika na abiria kusema punguza speed hivi maeneo ambayo mmeshuhudia watu wa pikipiki na WA kawaida wakipata ajali kwa magari hayo kugongwa kwanini isiwe shule kwa DREVA kuchukua tahadhari??
Nawasilisha