Hoja kumhusu Makonda: Wabunge wa CCM 'waanza kupangwa', ikilazimu Caucus kufanyika

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,136
17,871
Baada ya taarifa ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge chini ya mtani na kaka yangu Kepteni Mstaafu George Huruma Mkuchika kukabidhiwa kwa Spika, Spika ataiweka taarifa hiyo katika ratiba za shughuli za Bunge ili iwasilishwe na kujadiliwa. Tayari Mkuchika na Kamati yake wameshakamilisha taarifa yao tayari kuikabidhi kwa Spika, Ndugu Job Justino Ndugai.

Taarifa hiyo inatarajiwa kuwasilishwa na kujadiliwa kati ya leo au kesho. Taarifa ya Kamati ya Mkuchika itabeba kilichopatika katika mahojiano na Makonda; maoni na mapendekezo ya Kamati. Makonda (Daudi Albert Bashite) aliitwa kuhojiwa na Bunge kupitia Kamati hiyo kwa kulidharau Bunge kupitia kauli zake za kejeli na kiburi alizozitoa juu ya Bunge na Wabunge.

Katika hali ya 'kudhibiti' kauli na mwenendo wa Wabunge wa CCM kuhusu taarifa hiyo, viongozi wa Wabunge wa CCM wameanza kuwapanga Wabunge wa CCM. Kuwapanga huko kunaratibiwa na Katibu wa Wabunge wa CCM, Ndugu Jason Rweikiza. Rweikiza, kwa mujibu wa taarifa toka Dodoma, anawataka Wabunge kupongeza hatua ya Makonda ya kuomba msamaha kwa barua.

Imeelekezwa kuwa kama Rweikiza na timu yake watakwama kuwapanga Wabunge wa CCM kuhusu taarifa hiyo, basi kutalazimu kuwepo kwa Kikao cha Wabunge wote wa CCM almaarufu kama Party Caucus ili Wabunge waandaliwe na utaratibu wa kuwamulika mjadala utakapoanza uwekwe. Maandalizi ya haraka ya Caucus yatafanyika.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Yani bashite analindwa kinoma,hao wabunge wa ccm watu watawadharau sanaaaa,
Pamoja na kumdhalilisha kote rais wetu mpaka kuonekana ni anamlinda
Pamoja na kusababisha watu kucjaguka ndani ya jamiii
Pamoja na kusababisha mpaka NAPE kupigwa chini
Pamoja na udhalilishaj kwa watumishi wa ummaa!!!!!!

Hapana kwa kweli,huyu ni wakufungwa kwanza
Hata kama Huyo bashite akiomba msamaha hautobadilisha tabia yake ambayo inaonekana imeoteana mpaka sugu na ni ya enzi na enzi.

Kimsingi hafai katika uongoz
 
Baada ya taarifa ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge chini ya mtani na kaka yangu Kepteni Mstaafu George Huruma Mkuchika kukabidhiwa kwa Spika, Spika ataiweka taarifa hiyo katika ratiba za shughuli za Bunge ili iwasilishwe na kujadiliwa. Tayari Mkuchika na Kamati yake wameshakamilisha taarifa yao tayari kuikabidhi kwa Spika, Ndugu Job Justino Ndugai.

Taarifa hiyo inatarajiwa kuwasilishwa na kujadiliwa kati ya leo au kesho. Taarifa ya Kamati ya Mkuchika itabeba kilichopatika katika mahojiano na Makonda; maoni na mapendekezo ya Kamati. Makonda (Daudi Albert Bashite) aliitwa kuhojiwa na Bunge kupitia Kamati hiyo kwa kulidharau Bunge kupitia kauli zake za kejeli na kiburi alizozitoa juu ya Bunge na Wabunge.

Katika hali ya 'kudhibiti' kauli na mwenendo wa Wabunge wa CCM kuhusu taarifa hiyo, viongozi wa Wabunge wa CCM wameanza kuwapanga Wabunge wa CCM. Kuwapanga huko kunaratibiwa na Katibu wa Wabunge wa CCM, Ndugu Jason Rweikiza. Rweikiza, kwa mujibu wa taarifa toka Dodoma, anawataka Wabunge kupongeza hatua ya Makonda ya kuomba msamaha kwa barua.

Imeelekezwa kuwa kama Rweikiza na timu yake watakwama kuwapanga Wabunge wa CCM kuhusu taarifa hiyo, basi kutalazimu kuwepo kwa Kikao cha Wabunge wote wa CCM almaarufu kama Party Caucus ili Wabunge waandaliwe na utaratibu wa kuwamulika mjadala utakapoanza uwekwe. Maandalizi ya haraka ya Caucus yatafanyika.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kuna mahali uliandika kuwa uliwahi kushika nafasi za juu serikalini na kwenye chama, Kama bado uko kwenye hizo nafasi ni hatari kuwa na Kiongozi mmbea kama wewe!
 
Ndugai namuamin akisimamia mjadala ila sio naniliu, lkn Bwana zuber aliwai Kusema Ukiona kifaranga kinacheza juu ya chungu hakikuogop jua mamaye Yupo karibu, naona Dogo had sasa anakuwa nunda kwa wabunge.
 
Wewe Mzee umeishaanza kuchanganyikiwa.....ndoto inayokuja kichwani unaileta hapa tuitafsiri....

Inaonekana hapo ufipa ruzuku wanapiga wajumbe wa Kamati Kuu tu nyie njaa imepanda hadi vichwani...
 
MLETA UZI HUU!MIMI BINAFSI NAELEWA WEWE NI CCM KI NDAKI NDAKI NA UKO FAIR TOFAUTI NA CCM WENGINE WA HUMU,HIVI MKUU WA MKOA WA DAR MPAKA SAHV WEE UNAMTAMBUA KWA JINA GANI?

OVA
mkuu uwe unashirikisha akili japo ya kuzaliwa, yaani umeamini kabisa huyu mnafki ni team lumumba?! Ama kweli
tz bila mabashite haiwezekani!
 
Hivi mleta mada huwa unajifurahisha sana!

Baada ya uchaguzi wa wanasheria kule arusha ulikuja na drama kwamba mmepanga mikakati ya kumngoa makonda lakini mpaka leo ninyi ndio mnapigwa za uso kila siku.
 
Back
Top Bottom