Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,307
- 33,925
Hapa hakuna majaribio bali ni kitu halisi. Wewe kati ya wakuu wa wilaya na mikoa na Mameya na wenyeweviti wa halmashauri nani anamiliki serikali. Yaani Wakuu wa wilaya na mikoa ndiyo wanamiliki ardhi na dola hivo kama hawakubaliani na Halmashauri hutumia Polisi kufanikisha mambo yao.Mbona vitu Vinci hufanyiwa majaribio tufanyie hilo nalo
Kama kuna ufujaji wa fedha ambao wananchi wa Tanzani wanabebeshwa basi ni kuwepo kwa Halmashauri za miji Tanzania. Hivi umuhimu wa kuwepo kwa Halmashauri hizi ni upi kama hazikusanyi kodi, zikifanya baadhi ya maamuzi yake yanaweza kutenguliwa na Waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa? Hazimiliki Ardhi, zinaweza kugawanywa wakati wowote bila ya kushauriana nao na Halamshauri hizi zinaendeshwa na wakurugenzi ambao wenye Halmashauri zao hawana sauti ya kuwaajiri ama kuwafukuza kazi.
Ni kitu gani kitapungua kama hizi Halmashauri hazitokuwepo kuliko hivi sasa hata ushuru kidogo wanaokusanya unaishia kuwalipa madiwani ambao ni kama simba wa karatasi kwani kila waliamualo likiwaudhi wenye nchi yao linabatilishwa? Kwa nini tusiache nchi ziongozwe na Wakuu wa wilaya na mikoa?

Ni kama mtu anayekuja kwako kukusaidia kuu nyoka kwenye kabati lako, anavunja vyombo vyote pamoja na vioo vyote vya kabati, lakini mwisho wa siku anakwambia kuwa "lakini nyoka si nimemuua?" hasara aliyokusababishia inalingana na kuua nyoka na jee kulikuwa hakuna njia nzuri zaidi ya kuua huyo nyoka bila ya kukutia hasara?Janga la Taifa ili kuzikomoa Halmashauri ambazo ziko chini ya CHADEMA akaamua kukwapua vyanzo vyote vya mapato vya halmshauri nchini na kuviingiza Serikali kuu, sasa zinakufa taratibu.
Halmashauri ya rombo chini ya chadema tokea 1995 ndio inaongoza kwa rushwa nchini!!!Kama kuna ufujaji wa fedha ambao wananchi wa Tanzani wanabebeshwa basi ni kuwepo kwa Halmashauri za miji Tanzania. Hivi umuhimu wa kuwepo kwa Halmashauri hizi ni upi kama hazikusanyi kodi, zikifanya baadhi ya maamuzi yake yanaweza kutenguliwa na Waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa? Hazimiliki Ardhi, zinaweza kugawanywa wakati wowote bila ya kushauriana nao na Halamshauri hizi zinaendeshwa na wakurugenzi ambao wenye Halmashauri zao hawana sauti ya kuwaajiri ama kuwafukuza kazi.
Ni kitu gani kitapungua kama hizi Halmashauri hazitokuwepo kuliko hivi sasa hata ushuru kidogo wanaokusanya unaishia kuwalipa madiwani ambao ni kama simba wa karatasi kwani kila waliamualo likiwaudhi wenye nchi yao linabatilishwa? Kwa nini tusiache nchi ziongozwe na Wakuu wa wilaya na mikoa?
kama jambo hulijui kaa kimya na kama huna ushaidi jitulize!Halmashauri ya rombo chini ya chadema tokea 1995 ndio inaongoza kwa rushwa nchini!!!