Ilani namba moja ya ssm ni kuendelea kuwadangaya watanzania ili wao waendelee kubinafsisha rasilimali za nchi. Mbinu kuu wanayotumia kujihakikishia ushindi ni kuwagawa wapinzani katika makundi mengi ili waonekane wao wanafaa, ikishindana wanatumia goli la mkono.
Watz wengi tumechoshwa na mfumo uliopo , tunataka mabadiliko. Hata ssm mseme nini kuhusu ukawa hatuwaamini tena, mmeshaongopa sana, tunachotaka ni mabadiliko tu . Haijalishi anayeleta mabadiliko ni nani au chama gani tunataka mabadiliko tu. it is a protest vote.
Tunataka katiba mpya itakayofanya viongozi watimize ahadi kwa wapiga kura wao. Wawajibike kwa wananchi wao sio kwa mfumo ssm.Tumechoka ilani za kujirudia rudia kila uchaguzi, kwani mkiwa madarakani mnafanya nini? Kwa kifupi tumechoshwa na uwongo wa ssm, wasubiri vichinjio vya wapumbavu oct 25.