Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,360
Hata sijui ngoja ni muulize Kinuji na Dudumizi,🤭Mwalimu alinukuliwa akisema
“Wana - TANU wanaipenda TANU wana - AFRO wanaipenda sana AFRO yao wanajivunia vyama hivi vimefanya kazi, vina heshima na uzito wake unajulikana kabisa, tunavivunja kabisa. Tunavivunja - hii CCM itaweza kweli, ikarithi heshima ile na uzito ule ambao unajulikana si wa kukopa? Ikaurithi uzito ule na heshima ile na ikauimarisha na kujijengea uzito wake mwenyewe. Mimi nilikua na hofu kubwa kabisa.”
Majadiliano ya mkutano mkuu wa kawaida wa CCM. Oktoba 1982
Je CCM imefeli au imefaulu katika hili?
Nyerere bwana kwa kusema sema alikuwa hajambo
Hata sijui ngoja ni muulize Kinuji na Dudumizi,[emoji2960]
Swali gumu !!Mwalimu alinukuliwa akisema
“Wana - TANU wanaipenda TANU wana - AFRO wanaipenda sana AFRO yao wanajivunia vyama hivi vimefanya kazi, vina heshima na uzito wake unajulikana kabisa, tunavivunja kabisa. Tunavivunja - hii CCM itaweza kweli, ikarithi heshima ile na uzito ule ambao unajulikana si wa kukopa? Ikaurithi uzito ule na heshima ile na ikauimarisha na kujijengea uzito wake mwenyewe. Mimi nilikua na hofu kubwa kabisa.”
Majadiliano ya mkutano mkuu wa kawaida wa CCM. Oktoba 1982
Je CCM imefeli au imefaulu katika hili?
Akina Dudumizi wapo LumumbaUpo Tanzania hapa hapa au upo nje
Mwl. J.K Nyerere alikuwa na hofu ya kweli kabisa... ccm imegeuka kuwa lidude la ajabu sana... kwa wakulima (jembe) halipo, kwa wafanyakazi (nyundo) halipo... kwa wanachama halipo...Mwalimu alinukuliwa akisema
“Wana - TANU wanaipenda TANU wana - AFRO wanaipenda sana AFRO yao wanajivunia vyama hivi vimefanya kazi, vina heshima na uzito wake unajulikana kabisa, tunavivunja kabisa. Tunavivunja - hii CCM itaweza kweli, ikarithi heshima ile na uzito ule ambao unajulikana si wa kukopa? Ikaurithi uzito ule na heshima ile na ikauimarisha na kujijengea uzito wake mwenyewe. Mimi nilikua na hofu kubwa kabisa.”
Majadiliano ya mkutano mkuu wa kawaida wa CCM. Oktoba 1982
Je CCM imefeli au imefaulu katika hili?
Swali gumu !!
Akina Dudumizi wapo Lumumba
Mwl. J.K Nyerere alikuwa na hofu ya kweli kabisa... ccm imegeuka kuwa lidude la ajabu sana... kwa wakulima (jembe) halipo, kwa wafanyakazi (nyundo) halipo... kwa wanachama halipo...
In short baada ya kushindwa kurithi uzito na heshima ya awali lichama limetekwa na kujibrand kivingine kabisa!
Ukosefu wa dira na muelekeo...Wanakosea wapi?
Ukosefu wa dira na muelekeo...
Uchawa...
Kubebana (mbeleko)
Migongano ya maslahi kati ya ccm na serikali; ccm na wanachama.