Watu wanaoishi kando ya Mto Ruvuma wilaya ya Tunduru wako hatarini kuliwa na mamba wakati wanapovuka mto Ruvuma kwenda Msumbiji kwa ndugu zao. Wakazi hao wengi huvuka kwa mitumbwi kituo ya Wenje. Eneo hilo linaogopeka kwa sababu ya uwepo wa mamba wengi.