Arsenal 3 - Barcelona 1
Mfunyu naona nawe upo kwenye zile zile ndoto za mchana...
Yaani mambo yakiwa hivi Camp Nou hawatuachiArsenal 3 - Barcelona 1
mkuu usiwe na wasi wasi kabisa,leo jiandae kuangalia kandanda safi kutoka kwa vijana wa emirates.Alafu anasema of course ana-enjoy watching him play! Sasa ndio mambo gani haya? Sio ndio yale yale ya wale mabeki waliokuwa wakichanganyikiwa kisa walikuwa wanadhani wako kwenye TV wanamuangalia Dinho au Zizzou - kumbe wako uwanjani na wanapaswa kuwakaba!