Kwa kuongezea, katika mechi sita za makundi, Wydad amepata mabao 7 tu ambao ni karibu ya wastani wa goli moja kila mechiMechi mbili za Wydad Casablanca dhidi ya As vita ya Congo limepatikana bao 1 tu , tena bao hilo lilifungwa pale MOHAMED V STADIUM .
Hii comment inahusiana nini na mada?Mashabiki wa Yanga wanapenda mashindano madogomadogo yenye timu dhaifu wazifunge ili ionekane wana kikosi imara kumbe ni vibonde
Kuna shabiki mmoja wa Yanga walipotolewa CAFCL aly Hahly ya sudani na kurudi shirikisho alifurahi huku akisema afadhali warudi huku shirikisho sababu huku kuna timu dhaifu .
Yanga ndio alidundwa 9 😁Wydad 9-1 Simba(aggregate) Niko paleee nasubili kuitwa shoga isipotokea
Naona mpira umeanza kuujua leo, Raja kakugonga nje ndani, kampiga Vipers 5 kaenda ku draw Kampala, wewe ukampiga Vipers nje ndani kwa kutumia mfano huo tunga sentence inayo anza na neno mimi ni bwegeMechi mbili za Wydad Casablanca dhidi ya As vita ya Congo limepatikana bao 1 tu , tena bao hilo lilifungwa pale MOHAMED V STADIUM .
As vita amemaliza akishika mkia kwenye kundi A , yani ina maanisha As Vita ndiye alikuwa kibonde wa kundi kila mtu anachukua point kwake .
As Vita hana ubora kuliko Simba Sc kwasasa kwenye michuano ya CAF na wala hakuna timu bora zaidi ya SIMBA SC kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati linapokuja suala zima la CAF upande wa vilabu .
As Vita anakutana na Wydad tena kwao anaruhusu bao moja tu , anaenda kwake anapata sare ya 0-0 , hapo unapata funzo yakwamba kule Mohamed v Mohamed ,panatisha vibe la mashabiki ila kanda za video za As vita zinaweza kutumika kwenye kuifunza Simba Sc jinsi ya kucheza na Wydad pale Mohamed v Mohamed .
Cha maana Simba Sc inabidi imalize mchezo palepale LUPASO alafu ugenini ,wanaishi na Wydad ile KIFAZA yani mifumo ya Jose Mourinho, kuanzia namba ya nyuma hadi kwa washambuliaji wanaweka mabeki .....
Hofu ni hii inayotambaa kwasasa lakini Uhalisia Wydad anawezekan a ,na kama Simba Sc ina ndoto ya kutwaa taji hili inabidi icheze na timu kama hizi zenye Ubingwa huu , maana hatua hii wanacheza mabingwa huwezi ikuta Lipuli huku , kwahiyo hofu isitawale sana , Uhalisia ni kwamba Wydad wanawezekana ..kibaya zaidi wenye hofu zaidi ni watu wa Yanga kuliko simba wenye shughuli yao....
View attachment 2580989
Nani bwege zaidi?????jiangalie hapoNaona mpira umeanza kuujua leo, Raja kakugonga nje ndani, kampiga Vipers 5 kaenda ku draw Kampala, wewe ukampiga Vipers nje ndani kwa kutumia mfano huo tunga sentence inayo anza na neno mimi ni bwege
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sawa inauma ila ndio dawa vumilia[emoji382][emoji382][emoji382]Rage Rage Rage nimekuita mara tatuView attachment 2581068
Kwa akili za hivi Mangungu next time atawaletea Joti haina haja ya kuleta ManzokiMechi mbili za Wydad Casablanca dhidi ya As vita ya Congo limepatikana bao 1 tu , tena bao hilo lilifungwa pale MOHAMED V STADIUM .
As vita amemaliza akishika mkia kwenye kundi A , yani ina maanisha As Vita ndiye alikuwa kibonde wa kundi kila mtu anachukua point kwake .
As Vita hana ubora kuliko Simba Sc kwasasa kwenye michuano ya CAF na wala hakuna timu bora zaidi ya SIMBA SC kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati linapokuja suala zima la CAF upande wa vilabu .
As Vita anakutana na Wydad tena kwao anaruhusu bao moja tu , anaenda kwake anapata sare ya 0-0 , hapo unapata funzo yakwamba kule Mohamed v Mohamed ,panatisha vibe la mashabiki ila kanda za video za As vita zinaweza kutumika kwenye kuifunza Simba Sc jinsi ya kucheza na Wydad pale Mohamed v Mohamed .
Cha maana Simba Sc inabidi imalize mchezo palepale LUPASO alafu ugenini ,wanaishi na Wydad ile KIFAZA yani mifumo ya Jose Mourinho, kuanzia namba ya nyuma hadi kwa washambuliaji wanaweka mabeki .....
Hofu ni hii inayotambaa kwasasa lakini Uhalisia Wydad anawezekan a ,na kama Simba Sc ina ndoto ya kutwaa taji hili inabidi icheze na timu kama hizi zenye Ubingwa huu , maana hatua hii wanacheza mabingwa huwezi ikuta Lipuli huku , kwahiyo hofu isitawale sana , Uhalisia ni kwamba Wydad wanawezekana ..kibaya zaidi wenye hofu zaidi ni watu wa Yanga kuliko simba wenye shughuli yao....
View attachment 2580989
Utopolo wenye akili ni wawili tuWydad 9-1 Simba(aggregate) Niko paleee nasubili kuitwa[emoji196][emoji196]
Afadhali hao wawili, je hapo mkiani Hali ikoje? [emoji116]Utopolo wenye akili ni wawili tu
huyu jamaa anaweza hata kumleta BigirimanaKwa akili za hivi Mangungu next time atawaletea Joti haina haja ya kuleta Manzoki
Mbona wewe ni chura wa kijani tangu ulipokubali kuwekwa mwiko nyuma.Wydad 9-1 Simba(aggregate) Niko paleee nasubili kuitwa[emoji196][emoji196]