Hodini Jamvini

SolarPower

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
223
Reaction score
27
Naitwa SolarPower natokea umbali wa Kilomita 145,000,000 toka usawa wa dunia. natumaini nakaribishwa.
 
Mi nasita kukukaribisha kwani yaonekana wewe si binadamu wa kawaida wa dunia hii.
 
mmh hata mimi nina wasiwasi.

Kama ni kiumbe kutoka sayari yetu ambayo Muumba alichagua tuishi waja wake KARIBU, kama sio waweza kua hatari wewe.
 
Karibu uje utunusuru na janga la umeme,
Mgao umetuchoshaaaaaaa
 
Naitwa SolarPower natokea umbali wa Kilomita 145,000,000 toka usawa wa dunia. natumaini nakaribishwa.

karibu sana,angalau upunguze makali ya DOWANS na RICHMOND,ila panel zako za ghali sana na wachina wamezichakachua ile mbaya
 
karibu sana,angalau upunguze makali ya DOWANS na RICHMOND,ila panel zako za ghali sana na wachina wamezichakachua ile mbaya

Usiwenawasiwasi.Tutaanzishakiwandachetu hapahapa bongo ili bei ipungue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…