Hodiiiiiiiiiiiiiiiiii

:sad:mbona masheria mengi namna hii tena kwa lugha za kigeni ???
 
karibu mkuu.....umekimbilia uamuzi bomba:israel:hapa kila siku kuna chai moto moto ila tu usitafute mchumba humu mkuu tafadhwal mwatumalizia watu....wageni woote wa siku hizii watunyakulia watu wetu then waingia mitiniiii😛eep:GOOD LUCK
​
 
Mh!Hodi wakati ulishaingia ndani siku nyingi!we kabila gani?
 
karibu mkuu.....umekimbilia uamuzi bomba:israel:hapa kila siku kuna chai moto moto ila tu usitafute mchumba humu mkuu tafadhwal mwatumalizia watu....wageni woote wa siku hizii watunyakulia watu wetu then waingia mitiniiii😛eep:GOOD LUCK
​

Umeona eheeee
 
Mwenzetu weye umepitaje getini, mlango wa mbele, sebuleni hadi uje upige hodi chumba cha baba na mama??

Mh umeijuaje ramani ya nyumba hii weye bana?? Au mgeni mwenyeji?

Haya karibu ila rudi kaandike jina kwenye kitabu cha wageni pale getini!
hahahahahahahah
mwanajamii una mkwara jamani mgeni anaweza hata kurudia mlangoni umejuaje hajaandika jina getini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…