tehe tehe tehe tehe tehe,mwambie ajipige tena kwa camera ya nyuma tuone.Karibu mgeni,hio picha/avatar yako umeipiga kwa kutumia Techno ?
tehe tehe tehe tehe tehe,mwambie ajipige tena kwa camera ya nyuma tuone.
Nimeolewa ila sio kivile๐๐๐Mgeni karibu .Ila kuna single boy anatafuta mwenza wa maisha. Hebu nogesha mada umeolewa jamani??
Sent using Jamii Forums mobile app
๐ ๐ ๐ kwaiyo umeolewa kwa mbaliiiNimeolewa ila sio kivile๐๐๐