hodii!!!

hodii!!!

simaye

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
426
Reaction score
214
Ninayo furaha kubwa kujiunga katka mtandao huu wa kijamii, ninamatumaini makubwa kuwa mtanipkea na kunishirikisha katika mambo mbalimbali yanayohusu jamii na nategemea kujifunza mengi kutoka kwenu kwa ajili ya kujijenga kifikira na pia kujua yale mambo muhimu yanayoendelea katika dunia yetu.Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa manufaa na ustawi wa kizazi cha sasa na kijacho.
 
Hii ni ID yako ya ngapi hapa JF?
 
Wee mchuma mboga, swali lako naona limemfukuza jamaa jamvini hata hajibu tena
 
Back
Top Bottom