B beib candy New Member May 28, 2014 2 0 May 28, 2014 #1 wana jf hodi mpk ndani natumai mu wazima mm mgeni humu naombeni mnipokee.
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,840 May 28, 2014 #2 beib candy said: wana jf hodi mpk ndani natumai mu wazima mm mgeni humu naombeni mnipokee. Click to expand... Karibu ushatuma mpesa kwenye ile namba ili waweze kukufungulia na majukwaa ya siri?
beib candy said: wana jf hodi mpk ndani natumai mu wazima mm mgeni humu naombeni mnipokee. Click to expand... Karibu ushatuma mpesa kwenye ile namba ili waweze kukufungulia na majukwaa ya siri?
mwenemti JF-Expert Member Feb 15, 2014 309 59 May 28, 2014 #3 karibu karibu mgeni jisikie upo nyumbani sebuleni kwakuwa umekuja leo we sema nini unataka...!?
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,205 18,475 May 28, 2014 #4 karibu jf, naitwa kabanga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016