Kabla ya kukukaribisha ningependa na mie nidandie hodi yako,mie pia ni mgeni wa JF,nimeamua kuomba lift ili nisiwachoshe wananzengo.Natumaini nimekaribishwa na kupokelewa hivyo nina weza kukukaribisha pia.
Ahsante,
Jack Beur