Haya bwana, karibu sana, "twakufila mpaka kumoyo" (tunakupenda mpaka moyoni), ila sasa ulipaswa kupost hii kule kwenye jukwaa la utambulisho. Lakini si mbaya, sasa unajua.....jitahidi kutumia majukwaa husika kwa kila bandiko utakaloweka hapa JF, kila la heri.