HODI wanaJF!!!!!!!!!!

Karibu sana ndugu torres... enjoy and have fun!..........:coffee:
 
Karibu, lakini kumbuka hapa unaongea wewe na keyboard yako, kwahiyo usije ukakasirika ukadhani mwenzio anaziona hisia zako, nop.
JF ni kipimo cha uvumilivu.
 
Hamna noma kabla ya kujiunga nanyi nimeifuatilia sana JF tangu mwaka jana B4 uchaguzi, nikaipenda.
 
Torres0909 karibu tuchanhie mawazo, inategemea utaitumiaje forum hii, I believe utaleta +ve challenge humu jamvini.
 
karibu sana nina imani ukame wako wa magoli chelsea hautaathiri uwezo wako wa kufikiri mahali hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…