Brother pole sana kwa kutupwa huko! Mi napajua vizuri. Kule hata usihangaike kwenda na ule usafiri wako maana hamna pa kuendeshea, barabara zote mashimo
. Ila nakuaminia kwa ku cope na mazingira. Na pia mitandao ya simu ni adimu, zile galaxy zako ni bora uchukie moja tu tena chagua inayotunza chaji maana hamna umeme. Mimi binafsi ntakumiss sana hasa katika deal zetu za Japan na China. Ila natumaini kazi uliyoenda kuifanya ikikamilika utarudi tena.