Hodi JF

freu

Member
Sep 18, 2017
9
4
Mimi ni mwanaJF mwenzenu bado mgeni humu humu ndio najitambulisha rasmi kwenu.
Naombeni ushirikiano kutoka kwenu Watanzania wenzangu.
ASANTENI SANA.
 
freu ni nini? Karibu!
Usitukane watu, jifunze utamaduni wa kujenga hoja.
 
Mimi ni mwanaJF mwenzenu ila bado mgeni ndo najitambulisha rasmi kwenu naombeni ushirikiano.

Asanteni sana.
 
Mimi nikiona mgeni siku za karibuni kajiunga JF najua ni team buku 7 kwani kwa sasa mmezidiwa nguvu so mnarecruit new candidate kwa kasi ya light. Huu ni mfano wa nguvu ya umma. Nyie mnalipwa laikini mnashindwa nguvu na watu wanaojitolea.
 
Mku mbona Mimi silipwi lakini natete chama changu ccm kwa pale ninakoweza
 
Karibu sana. Jitahidi kuwa nyutro maana humu kuna kila aina ya watu
 
Mimi ni mwanaJF mwenzenu bado mgeni humu humu ndio najitambulisha rasmi kwenu.
Naombeni ushirikiano kutoka kwenu Watanzania wenzangu.
ASANTENI SANA.
Karibu sana ila epukana na Watu kama Stroke, Cocochanel, Motochini, Rutashoborwa, Lizaboni (ingawa huyu anaisoma namba hivi sasa) na Ndigiri wengine sababu hawa kila siku wana ujira wao wa buku 7
 
Mimi nikiona mgeni siku za karibuni kajiunga JF najua ni team buku 7 kwani kwa sasa mmezidiwa nguvu so mnarecruit new candidate kwa kasi ya light. Huu ni mfano wa nguvu ya umma. Nyie mnalipwa laikini mnashindwa nguvu na watu wanaojitolea.
Mimi siko huko unakofikiria, na wala sijawahi kufikiria mtazamo huo.
Mimi nikiona mgeni siku za karibuni kajiunga JF najua ni team buku 7 kwani kwa sasa mmezidiwa nguvu so mnarecruit new candidate kwa kasi ya light. Huu ni mfano wa nguvu ya umma. Nyie mnalipwa laikini mnashindwa nguvu na watu wanaojitolea.

Mimi nikiona mgeni siku za karibuni kajiunga JF najua ni team buku 7 kwani kwa sasa mmezidiwa nguvu so mnarecruit new candidate kwa kasi ya light. Huu ni mfano wa nguvu ya umma. Nyie mnalipwa laikini mnashindwa nguvu na watu wanaojitolea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom