Hodi JF mimi ni mgeni naombeni mnipokee

Hodi JF mimi ni mgeni naombeni mnipokee

Karibu sana mkuu hapa JF (JA) sehemu yenye madini yasiyopatikana popote pale.
Hapa JF hata kama ulikuwa umepungukiwa na nguvu za kiume basi zitarejea na zitakutapaa kwani mishangazi ya huku inajua kupandisaha ashiki.

BICHWA KOMWE - unamwambia nini mgeni.
Namkaribisha kwa moyo mkunjufu, mwambie Jamiiforums ni kitalu cha MABICHWA KOMWE a.k.a MABICHWA NAZI, mbili zipo, mbili hazipo.

Huduma zote zinapatikana.

Cc: Mbaga Jr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom