Siwez kuwa ban njoo tutete rafiki
karibu sana humu jukwaani ndugu RAYMOND
Basi wewe ni RAYMUNDAUmejuaje kama mm ni Raymond
Acha utani na jina la babu yangu
pole kwa yaliyokukutaNilikua sijaiona hii aisee Ahsante sana bro japokua ww sijalijua lako
sijajibu kinyonge...Mmhuuu Mbona umeitikia kinyonge
Karibu hadi chumbani bestHusikeni na mada tajwa hapo juu jamani mm ni mgeni humu jf ninaomba mnipoke, mnishauri, na mnipe sheria ya humu jf
Holla 5 kwa majamaa zangu Daby CHARMILTON joanah na wengine wengi
Karibu wewe mm mwenyeji...