21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,275
- 2,799
Habari zenu wadau.
Mimi ni mgeni humu ndani naombeni mnipokee tafadhali.
Ni kwa muda sasa nimekua nikisikia watu wakiisifia jamii forum kwa kusheheni habari moto moto na mijadala mbalimbali ila nilishindwa kuwa member kutokana na sababu mbalimbali.
Ila sasa mimi ni member rasmi naomba mnipokee. Asanteni.