Luftahansa Member Jan 23, 2020 14 14 Jan 23, 2020 Thread starter #3 Mbao za Mawe said: Hapo unajiona mjanja.!! Click to expand... π’π’ nimekukosea nini mkuu
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,756 Jan 23, 2020 #4 Luftahansa said: nimekukosea nini mkuu Click to expand... Unavyoona unaweza kunikosea kwa kichwa hicho?
Luftahansa said: nimekukosea nini mkuu Click to expand... Unavyoona unaweza kunikosea kwa kichwa hicho?
Luftahansa Member Jan 23, 2020 14 14 Jan 23, 2020 Thread starter #5 Mbao za Mawe said: Unavyoona unaweza kunikosea kwa kichwa hicho? Click to expand... Nyie ndo wale mabrother Uchwara mnaosumbua First Year chuoni Peleka Ujinga wako na ubabe wako wa putin Huko π‘π‘π‘
Mbao za Mawe said: Unavyoona unaweza kunikosea kwa kichwa hicho? Click to expand... Nyie ndo wale mabrother Uchwara mnaosumbua First Year chuoni Peleka Ujinga wako na ubabe wako wa putin Huko π‘π‘π‘
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,756 Jan 23, 2020 #6 Luftahansa said: Nyie ndo wale mabrother Uchwara mnaosumbua First Year chuoni Peleka Ujinga wako na ubabe wako wa putin Huko Click to expand... Wenzako wakija wanakuja na akili japo za kutafuta wachumba wewe siku ya kwanza tu unatuonesha matako.
Luftahansa said: Nyie ndo wale mabrother Uchwara mnaosumbua First Year chuoni Peleka Ujinga wako na ubabe wako wa putin Huko Click to expand... Wenzako wakija wanakuja na akili japo za kutafuta wachumba wewe siku ya kwanza tu unatuonesha matako.
Luftahansa Member Jan 23, 2020 14 14 Jan 23, 2020 Thread starter #7 Mbao za Mawe said: Wenzako wakija wanakuja na akili japo za kutafuta wachumba wewe siku ya kwanza tu unatuonesha matako. Click to expand... Hiyo pic n yako nini buda mbona Kelele mingi anyway sorry sirudii kuweka Nyama zako huku niache ase
Mbao za Mawe said: Wenzako wakija wanakuja na akili japo za kutafuta wachumba wewe siku ya kwanza tu unatuonesha matako. Click to expand... Hiyo pic n yako nini buda mbona Kelele mingi anyway sorry sirudii kuweka Nyama zako huku niache ase
proton pump JF-Expert Member Apr 30, 2017 5,363 6,902 Jan 24, 2020 #9 Nishida kwa kweli Luftahansa said: Hiyo pic n yako nini buda mbona Kelele mingi anyway sorry sirudii kuweka Nyama zako huku niache ase Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Nishida kwa kweli Luftahansa said: Hiyo pic n yako nini buda mbona Kelele mingi anyway sorry sirudii kuweka Nyama zako huku niache ase Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,053 10,699 May 21, 2022 #10 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.