Hodi hodi wanachitchat!!

Ahahahahahaha

Makubwa....nani kakwambia my mume Erickb52 ana tabia mbaya!! aisee watch out..hehehe,lol
 
Last edited by a moderator:
Binamu nimekuja
shabiki karibu sana
 
Last edited by a moderator:
mbona unafanana na mwenyeji ? your warmly welcome.
 
binamu i mic u!!
mwambie mgeni akaribie
wenyeji wapone,ac yake ya m-pesa
isome kwa ajili ya kutakrimu wenyeji!!
 
Ahahahahahaha

Makubwa....nani kakwambia my mume Erickb52 ana tabia mbaya!! aisee watch out..hehehe,lol

chocs kuna raia aliwahi kusema humu kuwa ile 52 kwenye avator yake ni idadi ya dates wake!kama mi mwongo mwite mwenyewe aje aseme!
 
Last edited by a moderator:
shabiki , ambacho hujakigusia ni pia hapa unaweza hata ukaoga uani ukiwa chuku wa chuku , na asikuulize mtu chochote!
 
Last edited by a moderator:
Kuna wengine huwa hatubishi hodi, pipin ni katabia ketu. Ila sina wasi wasu kwa kuwa voda wameniambia ktk m-pesa yng nimefikia kiwango cha juu cha kuhifadhi money
 
Last edited by a moderator:
Karibu mgen jamvini. Ungependelea kinywaji gani
 
wewe peke yako ndio hujui...au tuweke picha hapa?

Ahahahahahaha

Makubwa....nani kakwambia my mume Erickb52 ana tabia mbaya!! aisee watch out..hehehe,lol
 
Last edited by a moderator:
Kuna wengine huwa hatubishi hodi, pipin ni katabia ketu. Ila sina wasi wasu kwa kuwa voda wameniambia ktk m-pesa yng nimefikia kiwango cha juu cha kuhifadhi money

sio tabia nzuri mkuu,vinginevyo hiyo avatar hapo juu haikufai.
 
shukran mkuu umewaita,wamekuja na nimewaona!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…