Hodi hodi wana Jf!!!

Mwana CCM.

Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
83
Reaction score
10
Mimi ni Mtanzania mwenye umri zaidi ya miaka kumi na minane naomba kujiunga nanyi humu jamvini
 
Ka ID kako (MWANA CCM) kanatutisha. Ila kwa kuwa mwana MAN UTD karibu sana
 
Si mc wewe? Karibu tupo!
 
Hiyo ID isikutishe ndugu yangu mzee wetu alikuwa anatupa majina ya ajabu sana, hivi unaweza ukaamini kaka yangu anaitwa TANU na mdogo wangu anaitwa Cement
 
Nitakuwa nakuita mwana tu hilo jina la pili nina allergy nalo
 
Mimi ni Mtanzania mwenye umri zaidi ya miaka kumi na minane naomba kujiunga nanyi humu jamvini

Moja ya kanuni za JF ni usi-post pornography, lugha za matusi hazitakiwi ...... hivyo swala la umri si muhimu SANA kutaja japo ni chombo cha kupima hoja zako wakati mwingine!
 
Hiyo ID isikutishe ndugu yangu mzee wetu alikuwa anatupa majina ya ajabu sana, hivi unaweza ukaamini kaka yangu anaitwa TANU na mdogo wangu anaitwa Cement

Ahsante karibu!
Maana zaidi utaipeleka kwenye maana ya kujiita hilo jina.
Nahtaji kujua kwanini hujajibadilisha japo uitwe
 
Karibu mwana CCM ,karibu sana humu jamvini. Kumbuka moja wapo ya Sifa zana wana JF ni kuwa great thinker! Hivyo hatutegemei uwe na mtazamo wa Kifisadi!
 
Umenifurahisha kweli na hayo majina ! Ila hili la kwako limekaa vibaya!
 
Karibu bana mwana .....!! jina lako mpk sasa limeshaleta mvunjiko w amani humu ndani.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…