Hodi hodi wana JF

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
966
Reaction score
541
Kwa mara ya kwanza naingia uwanjani natumai nitafurahia michango yenu nanyi kufurahia michango yangu hasa katika kipindi hiki cha kuelekea october 2010

Regards kwa wote

Ni mimi Kidundulima
 
Kwa mara ya kwanza naingia uwanjani natumai nitafurahia michango yenu nanyi kufurahia michango yangu hasa katika kipindi hiki cha kuelekea october 2010

Regards kwa wote

Ni mimi Kidundulima

Akyanani tena jina PAST TENSE TUPU.............. Anyway Jinsia.......???
 
Karibu sana ,ila umekosea mlango, siyo huku!!!
 
Umekosea mlango, ila karibu mkuu.
 
Karibu sana hapa jamvini na utafurahi wakati wote kuwa nasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…