Hodi hodi wana jf..

Joined
Jul 16, 2011
Posts
26
Reaction score
1
Siku nyingi sana nilitaman kujiunga nanyi wana jumuiya,leo nimefanikiwa kuingiza guu lang katika forum hii maarufu nchin na hata nchi za nje! Nipokeeni basi wana jamii..
 
karibu javini kuna mtu anaitwa ms si mchezo huyo mtu utamjua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…