Hodi! Hodi! Hodi!

mbupupu

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
90
Reaction score
11
am new member of jf nimepata story za huku nasikia full burudani
 
am new member of jf nimepata story za huku nasikia full burudani

We umekuja na burudani gani? hiyo hodi hodi mbwembwe tu na ngoma ya MKODOBWE inakuhusu cc: Erickb52 na Madame B hakuna kukagua mtu wengine wana double walishakaguliwa hakuna new version
 
Last edited by a moderator:
kua free wala usinyate
JF ni zaidi ya burudani!
karibu mpaka kwa rumu!

 
Japokua jina lako halihitaji kulitamka huku mtu akiwa na haraka!
Nway karibu.
 
mbu-pu-pu
mhh jamani inabidi uwe umelewakidogo ili kulitamka hili jina!!!!
 
hahahahahaha!!!! Gumu sana nini kutamka hv hadi upate kinywaji kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…