Hodi hodi! hodi! wenyewe mpo?

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,453
Reaction score
8,437

Fikiria mlango wako unagongwa, halafu unaenda kuufungua na unakutana na mgeni kama huyu? Utafanyaje?



 
Hapa atakae kuwa wa kwanza kutoka nje atapigaje kelele kama mwanamke najua atakimbilia kushika matiti sijui kwa nini wanashika matiti.
 
nitakufa aiseeee panya ananinyima raha huyu aisee nitakuwa mauti kabla ya kuliwa nae
 
Hapa atakae kuwa wa kwanza kutoka nje atapigaje kelele kama mwanamke najua atakimbilia kushika matiti sijui kwa nini wanashika matiti.

Hii mbona mpya
 
Hapa atakae kuwa wa kwanza kutoka nje atapigaje kelele kama mwanamke najua atakimbilia kushika matiti sijui kwa nini wanashika matiti.

mweee .....ya matiti yamekujaje sasa
 
Hizo ni faida za kujenga maporini kama si kuacha mazingira machafu yenye vichaka vya kutisha.
 
Ukifungua mlango kitu cha kwanza ni shikamoo mzee Cobra na kumwabia wote hawapo labda urudi baadae kidogo, ntawajulisa ulikuja ili wakusubiri na magongo
 
Ninavyochukia nyoka, nadhani hapo angepigwa risasi
 
Imenikumbusha Mh Agrey Mwanri alipokuwa kanisani.................. mara mgeni kaingia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…