Hizi slogan za makampuni ya simu ni shida

Wadau naacha kutumia mitandao hii mpka wabadilishe hizi slogan
 
hii thread ni copied [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apo Bado gonga ugomgwe ,,,loading........
 
Tujazane tu mana hamna namna weka-uwekwe tia-utiwe ingiza-uingiziwe
 
Hahaha hawa jamaa washnz sana

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hivi hizi kitu ni kweli au editing? maana sisikii wakinadi hizo slogan zao kwenye maredio na Tv
 
 
Sasa Chadema tumeingiaje hapa??????????????????

Mnatuwaza sana hadi mnashindwa kutoa huduma kwa Wananchi. Kilam siku mnatumbua tu, huku mtaani tunahitaji mtimize ahadi zenu.
Wataiga faster hao wazee wa kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…