Mi napenda love inipate.....kama kupatwa kwa mwezi.Love is like a butterfly.
The more you chase it, the more it eludes you.
But if you just let it fly, it would come to you when you least expect it
So Good man, DONT FIND LOVE, let love find where you are
I
Mi napenda love inipate.....kama kupatwa kwa mwezi.
Let it come to me......me relaxing with me beers, then me receive love....!!
Heeeee! Sasa seriousnes ni kingo.....nipo makini sana na topic.Mwambie awe serious na wewe kama anakupenda kama hakupendi anza
Hii ipo sana, ila tatizo ni sisi vidume wenyewe kuwabembeleza sana hawa watu.... Cha msingi ni kuhakikisha katika siku 3 za kukutana hakikisha ana-declare interest kama unaona hana muelekeo achana nae... Mwaka mzima unamfuatilia mtu, unatafuta nini na ndio maana wanaleta pozi!!! :msela:
Love is like a butterfly.
The more you chase it, the more it eludes you.
But if you just let it fly, it would come to you when you least expect it
So Good man, DONT FIND LOVE, let love find where you are
I
Mi napenda love inipate.....kama kupatwa kwa mwezi.
Let it come to me......me relaxing with me beers, then me receive love....!!
Nanyi wa kaka mmezidi, mtu akikukubali siku hiyo hiyo Ooh maharage ya mbeya maji mara moja, akikusumbua ooh sitaki na tanaka. Kwakifupi msichana tabia ya sitakinataka SUNA.
Kweli Babu lao,wanaume wengine wanazunguka weeeee,akueleze babu yake alikuwa chifu,mama yake alikuwa katibu wa chama enzi za nyerere sijui yeye alisoma english medium kipindi hicho hazipo nyingi.......then baada ya miezi sita huyo....Michelle i do love you.......kuwa muwazi mapema....sio kutumia muda na effort kubwa at the end kama siku-feel ndo hivyo tena........:laugh::laugh:
Punguza spidi ya kuandika mamiiiiiii, mboga bado inaiva jikoni
aah wapi..hii ilikua zamani, siku hizi hii ni mara chache sana..mademu wengine wanaingia mpaka gesti, halafu anakataa kila kitu hata kuongea hataki, sasa sijui alienda kufanya nini
Haya ntarudi nikiivisha.