Hizi Simu za Mikononi aka Line Mpya ni nuksi sana.......

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
_88544912_istock_000069588591_full.jpg


Mke wangu alisajili line mpya jina la Jenifer Godson bila mimi kujua.
Jana usiku nimerudi home akaniomba elfu 10 akasuke.
Nikajibu sina elfu 10 nikampa buku 2

Wakati tumelala, Mara Paa msg katika simu yangu
"HI MY LOVE".
Kidume nikatoka nje nikaenda toilet, nikaijibu:

"we nani"
MSG: ni mimi Jane Msambwanda".
Kusikia Msambwanda, mshipa wa ubongo ukanicheza.

MIMI: Jane Msambwanda wa wapi tena?"
MSG: Bwana baby nawe,si pale unapokulaga kila siku?"

MIMI: "ooh,kumbe unaitwaga Jenifer, namba yangu umeipata wapi?
MSG: "nimepewa na rafiki yako DJ Tipwil, nakupenda sana handsome, sema huwa naogopaga kukwambia, ila mi sijiwez

juu yako, yaani kila ukija kula, natamani usiondoke, nikwambie yaliyomo moyoni mwangu, nateseka sana mwenzio"

MIMI: Jamani pole mpenzi, hata mimi nilikuwa nakupenda, yaan kila nikiona huo msambwanda nahisi mzunguko wa damu kubadilika, I love you too honey.

MSG: Basi mpenzi ,nikuombe kitu
MIMI: aah,sema tu

MSG: naomba elfu 50
MIMI: nakutumia sasa ivi"
(NIKATUMA)

MSG: Waaoo asante Mume wangu, haya rudi ndani tulale, mi Mkeo MAMA KIDUKU hapa
1f646_200d_2642.png
‍♂
1f646_200d_2642.png
‍♂
1f646_200d_2642.png
‍♂
1f3bc.png
_hapo ndio utaukumbuka wimbo wa dunia Lukumba lukumba
1f3bc.png
_
1f3c3_200d_2642.png
1f3c3_200d_2642.png
1f3c3_200d_2642.png

Usicheke mwenyewe SHARE
 
Hapo ndio utajua usingizi nao ni hamu.Utazunguka nje ukijidai joto kali huku ukiugulia baridi yaani ni heart attack
 
Back
Top Bottom