Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Tuzo hizo za nchini Uganda zinazojulikana kama HIPIPO zimeshuhudia Diamond akiendelea kumgalagaza vibaya sana msanii anayekuwa overrated na mashabiki wake wakati uwezo wake ni butu.
Vipengele alivyoshinda ni
1. Wimbo bora Afrika Mashariki
2. Video bora Afrika Mashariki
Ndani ya siku mbili Diamond amenyakua tuzo tano na mwezi wa kwanza jumla kachukua tuzo saba.
Vipengele alivyoshinda ni
1. Wimbo bora Afrika Mashariki
2. Video bora Afrika Mashariki
Ndani ya siku mbili Diamond amenyakua tuzo tano na mwezi wa kwanza jumla kachukua tuzo saba.