Hizi Picha zinamaanisha nn?

Hizi picha maana yake FANYA KAZI KWA BIDII, USIPOTEZE MUDA KUFUATILIA MAMBO YA KIJINGA.
 
watu wanadanganyika sana,mungu akasema,,,,,,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,,,,mambo haya yanakuzwa na wajinga ndio waliwao,,,,,ooh freemason,wapo dar,,ar,mwz,,,oooh uliya ,,,amerika,,,,upuuzi mtupu,,,nenda huko kote hutawaona zaidi ya tetesi ,,,mtu akiwa na mafanikio ,,ataitwa freemason,,,,,fisadi nk,,,wivu wa masikini ni mbaya sana,,,,,,ni kukosa maarifa,,,yapo hata magazeti ya dini za kizuahili ni mashabiki wa upuuzi huu wa kuwalisha watu matango mwitu,,,,,,kaazi kwelikweli////////:yo:
 

NDO UTASIKIA WAKINGA WANAJENGA MAGOLOFA KARIAKOO WACHAWI mala wameua ndugu zao ni ujinga mtupu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…