Hizi pete

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Habari za humu ndani,kuna kitu ninauliza..kuna wimbi la vijana wengi siku hizi hapa Dar kuvaa pete kidole kidogo cha mwisho au kidole gumba au kidole cha kwanza baada ya dole gumba...hizi huashiria nini? Nataka kujua nini maana yake katika mahusiano au ndo wale wako katika mahusiano ya kimapenzi na majini au mashetani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni kuigana tu hamna cha maana

Sent using Gun Trigger
 
Hata haipendezi Wanaume kuvaa hayo mapete yenye rangi Nyekundu, Kijani, Nyeusi, Njano n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…