Hizi ni dalili za ugonjwa gani?

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
164
uume kuingia ndani yaani kuwa mdogo kama pingili moja ya dole gumba la mkono, uume kusinyaa na kuwa mgumu. Maumivu makali kuanzia kiunoni mpaka mgongoni. Misuli ya mguu kuvuta. Nguvu ya kiume kupungua kwa kasi, NIMEPIMA SINA UGONJWA WOWOTE WA ZINAA. X RAY NA ULTRA SOUND HAKUNA TATIZO LOLOTE. Naombeni
ushauri wenu wa mawazo na tiba. Hasa uume kusinyaa na kuwa mfupi na mgumu. WAKATI MWINGINE NIKIINAMA UNASINYAA NAKUWA MFUPI PIA NIKIFANYA KAYI NGUMU AU KUTEMBEA SANA. Huu ni ugonjwa gani?
 
Sijui, ila kwanza muone psychologist uongee naye kupunguza madhara ya ugonjwa, wakati unafanya juhudi za kutafuta solution. Clinical psychologist ni wazuri kwa hilo
 
Eleza historia yote ya ugonjwa ilivyoanza na kujibu maswali yote utakayoulizwa kama kweli unataka kupata matibabu ya uhakika. Tungependa kujua kabla ya ugonjwa ulikuwa na hali gani na tofauti ilianzaje na kama ulishafanya maasi ya kutembea na mke wa mtu au kumdanganya mtu kwamba utamuoa. Kuna magonjwa mengine ni spiritual yanahitaji kuvunja nguvu za giza kwa maombi maalum, haya huwa hayaponi kwa kwenda hospitali kamwe ila mengine yakawaida yanatibika hospitali.
 
Back
Top Bottom