Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,446
Sio siri wana JamiiForums hzizi nyimbo nilizisikiliza naona kama vile zimeimbwa leo leo tu
1.Nelly ft Kelly Rowland - Dilemma
Nani haujui huu wimbo???Huu wimbo kwangu hauchuji kuanzia beat mpaka video yaani.Huu wimbo uliimbwa tangu 2002 lakini kwangu upo poa sana huu wimbo.
2.Johayna Abdallah- Quran
Japo sijasoma madrasa lakini huu wimbo wa kaswida au ukipenda sema Nashid ni wimbo bora kwangu lakini video imetolewa chini ya kiwango.
Shemu nayoikubali ni lile beat lililowekwa mwishoni mwa wimbo
3.Nyanyembe Jazz Band - Rangi Ya Chungwa
Kweli salaam ziwafikie hawa vichwa vya Nyanyembe Jazz Band popote kule walipo hata kama wapo peponi.Sio siri huu wimbo unanikosa sana kila nikipata muda wa kusikiliza muziki huu wimbo ni lazima niusikilize.
4.