Hizo ni namba za magari ya NCHI YA ZANZIBAR!
Ha haa haahaaaaaa NI ZA MAFSADI
mjomba umesahau kuwa utafiti ni pamoja na kuwaliza uliowakusudia, unajuaje kama hapa ndo nipo kwenye huo utafiti, halafu vile vile mimi kwangu inatisa sana, maana huwezi ona kitu nadani ya nyumba yako hukielewi halafu huulizifanya utafiti hii mada haina tija
Pinda akikusikia!Hizo ni namba za magari ya NCHI YA ZANZIBAR!
inawezekana mkuu maana hata ninapoziona ni kwenye yard za wauza magari, tena magari yenyewe unakuta ya ukweli kama voque ndo maana hata jamaa aliposema labda za mafisadi nilitaka kukubali, magari yote ni yale yale ya kifisadi ndo hutumia namba hizo. ahsante sana mkuu, pamoja sanaHizo namba ni za muda mfupi hayo magari yanakuwa hayajalipiwa ushuru wote na hutumiwa na wauza magari ili akipata mnunuzi anamuwekea namba mpya na zinalipiwa.