Hizi milioni mbili taslimu

Jiangalie na jihadhari na huyo jamaa yako (Mbabe) isije kuwa amekuwekea mtego kwa lengo la kukutatua Marinda...!

Chunga sana cha mtu ni Sumu..
 
Miezi 3 ni michache sana.

Acha tamaa, muwekee Pesa yake , mazingila ya sasa sio ya kusema unaanza tu biashara.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ningekuwa nazo, akyanani fastaaaa ningekuja kuwekeza kwenye huo mgodi wako unaotembea. Nahisi mgodi bado madini yamo, haujaishiwa.

-Kaveli-
 
So far nmeona ushaur mzur ni huu hapa tu ukinunua dollar after three months time inaweza kuwa imeongezeka hata shilling 3 per dollar sio mbaya
Pesa ndogo sana hiyo kwa FOREX
 
Usijaribu kabisa...

Miezi mitatu ni kama masaa mawaili... Itafika na pesa ya watu huna...


Cc: mahondaw
 
biashara haiendi siku hizi me mwenyewe nina 16m Tsh ila sioni chakufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…