nimepewa nimuhifadhie until hiyo miezi mitatu,mimi tu ndio nimepata wazo la kutaka kuichezesha lede!umepewa uiweke kwa niaba au uitumie? ukitumia utaweza kuirudisha pasipo shaka? kama jibu ndiyo the go ahead!
wakuu kuna mdau kanipa mil.2 taslimu nimuwekee kwa muda wa miezi mitatu,sasa kilichopo akilini mwangu imenijia idea kuwa within this time hivi hakuna mishe naweza nikaifanyia ijizungushe ili wakati wa kuja kuzichukua na mimi niwe nimebakia na masalia?
maana kuziweka tu zivunde naona sio sawa,sababu ya kuandika hapa ni kuomba msaada wa kimawazo kwa mwenye uelewa wa nini naweza nikakifanya kuzizungusha hizi pesa zizaliane kwa kipindi tajwa?
nitalichukua na kulifanyia kazi lolote nitakaloona litanifaa na lina uhalisia ili nisile hasara,maana mwenyewe hajui nikiwazacho hapa afu ni mbabe pia...atanivuruga!
Huo ni wiziwakuu kuna mdau kanipa mil.2 taslimu nimuwekee kwa muda wa miezi mitatu,sasa kilichopo akilini mwangu imenijia idea kuwa within this time hivi hakuna mishe naweza nikaifanyia ijizungushe ili wakati wa kuja kuzichukua na mimi niwe nimebakia na masalia?
maana kuziweka tu zivunde naona sio sawa,sababu ya kuandika hapa ni kuomba msaada wa kimawazo kwa mwenye uelewa wa nini naweza nikakifanya kuzizungusha hizi pesa zizaliane kwa kipindi tajwa?
nitalichukua na kulifanyia kazi lolote nitakaloona litanifaa na lina uhalisia ili nisile hasara,maana mwenyewe hajui nikiwazacho hapa afu ni mbabe pia...atanivuruga!
mimi nakushauri uzitafte mahali uzihifadhi mana je utakalotaka kufanya litakua na risk je utaitatuaje risk hiyo ukikumbana nayo? sawa amekupa umhifadhie what if aje aitake hela yake within one month na wewe hela ushaizungusha?nimepewa nimuhifadhie until hiyo miezi mitatu,mimi tu ndio nimepata wazo la kutaka kuichezesha lede!
niitumie kwa kuifanyia nini ndio swali langu,unanishauri niipigie mishe gani?
maana mwenyewe hatakiwi kujua lolote...ataipora akisikia nataka kuitingisha...
Unataka umuuzie kyuma kijana wa watu ule hela zote?Njoo nikufundishe biashara ya kufanya
Nna mgodi unaotembea
Wakuu kuna mdau kanipa mil.2 taslimu nimuwekee kwa muda wa miezi mitatu,sasa kilichopo akilini mwangu imenijia idea kuwa within this time hivi hakuna mishe naweza nikaifanyia ijizungushe ili wakati wa kuja kuzichukua na mimi niwe nimebakia na masalia?
Maana kuziweka tu zivunde naona sio sawa,sababu ya kuandika hapa ni kuomba msaada wa kimawazo kwa mwenye uelewa wa nini naweza nikakifanya kuzizungusha hizi pesa zizaliane kwa kipindi tajwa?
Nitalichukua na kulifanyia kazi lolote nitakaloona litanifaa na lina uhalisia ili nisile hasara,maana mwenyewe hajui nikiwazacho hapa afu ni mbabe pia atanivuruga!
So far nmeona ushaur mzur ni huu hapa tu ukinunua dollar after three months time inaweza kuwa imeongezeka hata shilling 3 per dollar sio mbayaNUNUA US DOLA
1 USD =2,246.88TZS
UTAPATA DOLA=890