Watu wazima wale,kama ni kina Zembwela,Zembela ni kijana hata kabla sijazaliwa,hakosi miaka 50wabongo watakuja kusema hapo kuna mwekezaji. hawakosi kuzusha. ila wale vijana watatu wanakera kuliko hata ccm, wanajali matumbo yao na hawaangalii future yao itakuwaje akija rais ambaye sio mwanaccm.
😃😃😃MASIKINI AKIPATA MATKO HULIA MBWATA.
Zitatokea Tundu Lolote Lililo Wazi Mwilini Mwake, AtazitapikaAtazilipa soon
How.. amekanyaga ganda la ndizi kuwakebehi WaTanganyika
Muda utaongea vizuri
UMEMSAIDIA KUTAFUTA HIZO PESA? ACHENI KUPANGIA WATU MAISHAMaulid asidhanu tunafurahi kutanua na kula bata kwake. Tunamaindi kichiz. Lazima wote tuwe sawa bana.
Hiyo hotel inaonekana ni ya nchi ya kiarabu.Mzuka wanajamvi!
Huyu Mwamba Mungu amtangulie.
Hizi jeuri za pesa na matanuz anazitoa wapi?
Ikumbukwe kuna lindi la umaskini katika jamii yetu. Na hulka ya mtu mweusi ni chuki, uchawi, fitina, umbea na majungu. Punguzeni hizi jeuri na jazba
Maulid asidhanu tunafurahi kutanua na kula bata kwake. Tunamaindi kichiz. Lazima wote tuwe sawa bana.
Yani jamaa hatulii utadhani jamii ya kuku anataga.
Leo yuko Sweden, kesho Australia keshokutwa marekani. Wakati sisi wingine kajamba nani kufika Nyarugusu tu ama Bukombe ni shughuli. Halafu anaposti mapichamapicha na kutuzidishia maumivu.
Maulid juwa hatupendezwi. Mmatumbi kikawaida siyo mchawi lakini kuna sababu zinampelekea kuwa mchawi na kuroga. Tunakula mara moja baada ya siku tatu halafu mnaturingishia lazima turoge tu wote tuwe sawa.
Kuleni bata kimya kimya huko na jeuri zenu za fedha sijui mnatowa wapi.
View attachment 2683970
Aleza vzr acha kutetemekaMpwa maghaya hii dunia ina mengi mpwaaa yaachd tu tupambanie wattotoo wetu yaani hapa jirani yangu kuna jamaa alikuwa kanunua eneo kama hk moja na nusu mbezi beach anashinda bar kutupigia njoon kila sikuu ile eneo ukipita sasa lina vigorofa viwili na nyumba za kupanga kama 4....sikuhizi akinipigia nikiona anaongelea mambo ya kutegana naenda choon nazima simu nasimamisha pik moto ....
Tuko pamoja Broo huyo ni kitengo kitengeALIPOMZUIA YULE POLISI ALIETAKA KUMPIGA BASTOLA MH NAPE MBONA UKUJA KUULIZA ALIPATA WAPI UJASIRI KUMRUDISHA NYUMA...UNATAKA KUJUA ANAPATA WAPI HELA
VINGINEE NYOTA NDUGU WE TUPAMBANE PALEEE BUGURN NA NDIIZI ZETU MPAKA ZIISHE TUTATOKA TU
Mzuka wanajamvi!