stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,043 Reaction score 27,867 Apr 13, 2018 #21 11.Ndoa ya kuonekana umeolewa au umemuoa fulani kwasababu ya uzuri au mali alionayo..
Jeiefu JF-Expert Member Joined Mar 28, 2018 Posts 781 Reaction score 1,581 Apr 13, 2018 #22 Yangu ni namba 3 mkuu
sha classic Member Joined Feb 11, 2017 Posts 22 Reaction score 44 Apr 13, 2018 Thread starter #23 Mwifwa said: Sijaona ndoa yangu hapo Click to expand... hahaha
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,284 Reaction score 40,902 Apr 14, 2018 #24 Hkuna mabadiriko yoyote,zamani kulikuwa na michepuko kuliko sasa ila watu walikuwa wanamalizana kiutu uzima,pia kukua kwa tekinologia kumeongeza mambo kuwa wazi zaidi
Hkuna mabadiriko yoyote,zamani kulikuwa na michepuko kuliko sasa ila watu walikuwa wanamalizana kiutu uzima,pia kukua kwa tekinologia kumeongeza mambo kuwa wazi zaidi
Mlima simba JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 3,856 Reaction score 7,059 Apr 14, 2018 #25 NDOA ZA UJI: Hizi ndoa zinafungwa mwezi mmoja kabla ya mwezi mtukufu (Ramadhani) kufika, ramadhani ikiisha kila mtu na kwake.
NDOA ZA UJI: Hizi ndoa zinafungwa mwezi mmoja kabla ya mwezi mtukufu (Ramadhani) kufika, ramadhani ikiisha kila mtu na kwake.