Hizi fashion ni shida...

tunapoelekea tutavaa hadi madekio kisa fashions
 
yaani nashindwa kuelewa hayo ni matambala au matobo tobo yaani ni shida tupu siku hizi.... na cheki hicho kisuruali chake...:confused2:
 
Mwanaume na binadam mwenye ufahamu upstairs huwezi kupata muonekano huu.! Labda kama ndio ajira take.
 
Hiyo miguu mbona kama imechomekwa jamani

Hahahaaa upaja unafanana na ugoko!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…