Hizi Deodorant nyingi fake zimeingia Madukani

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Mimi nmekuwa mtumiaji wa Deodorant za Fa kwa muda mrefu sana. Hasa baada ya NIVEA kunishinda au kutoendana na ngozi yangu.

Nivea nlianza kutumia toka miaka ya 90s baadaye zikawa zina au mwili wangu unazikataa kwa sababu nlikuwa niki apply kwapa zinawasha sana na kutoka uvimbe.nikaachana nazo na kuanza kitumia Fa.

Miaka yote hiyo Fa hazikuwa na shida.ila sasa naona kuna Fa Fake nyingi sana supermarkets na maduka ya vipodozi.

Zaidi ya mara 5 nanunua Fa maduka mbalimbali lakini hazifanyi kazi kabisa.sisi tunaofanya mazoezi tuna apply ili hata ukienda Gym usiwe na harufu ya jasho kwapani.hizi hazifanyi kazi kabisa.zimekuwa zubaifu hata hazina msaada.

Nmegundua Fa Origina duka flani hivi Posta. Hata bei yao imechangamka kidogo lakini ni zile zenyewe.baada ya kujaribu Fa Sport moja ya 48 hours huwezi amini toka jana mpaka leo nipo fresh kabisa.na niseme ukweli jana nlioga asubuhi jioni nikarudi nikaenda Gym nikarudi home. Nikala ili baadaye nioge nilale. Upepo wa AC umenipiga nmelala sijaoga.ila nmeshangaa hata wife hakusema kitu.

Sina harufu ya jasho kbisa.leo nmeenda duka husika nmezibeba hizo Fa 30. Maana nmezunguka sana before kupata Fa zenyewe za ukweli.
 
Sijafahamu....ila sidhani kama yapo na kama yapo basi ni kawaida coz hakuna kisicho na madhara kwa maisha haya.... Hata ukikaa muda mrefu bila kugegeda kuna madhara.

Ukigegeda sana kuna madhara. Ukinywa maji mengi sana kuna madhara. Usipokunywa maji kuna madhara...

Basi kisichoniua sasa kinaniongezea maisha ya leo.

Naomba kuuliza hivi madhara ya kutumia deodorant kwa muda mredu ni yapi?
 
Mimi nmekuwa mtumiaji wa Deodorant za Fa kwa muda mrefu sana. Hasa baada ya NIVEA kunishinda au kutoendana na ngozi yangu.

Nivea nlianza kutumia toka miaka ya 90s baadaye zikawa zina au mwili wangu unazikataa kwa sababu nlikuwa niki apply kwapa zinawasha sana na kutoka uvimbe.nikaachana nazo na kuanza kitumia Fa.

Miaka yote hiyo Fa hazikuwa na shida.ila sasa naona kuna Fa Fake nyingi sana supermarkets na maduka ya vipodozi.

Zaidi ya mara 5 nanunua Fa maduka mbalimbali lakini hazifanyi kazi kabisa.sisi tunaofanya mazoezi tuna apply ili hata ukienda Gym usiwe na harufu ya jasho kwapani.hizi hazifanyi kazi kabisa.zimekuwa zubaifu hata hazina msaada.

Nmegundua Fa Origina duka flani hivi Posta. Hata bei yao imechangamka kidogo lakini ni zile zenyewe.baada ya kujaribu Fa Sport moja ya 48 hours huwezi amini toka jana mpaka leo nipo fresh kabisa.na niseme ukweli jana nlioga asubuhi jioni nikarudi nikaenda Gym nikarudi home. Nikala ili baadaye nioge nilale. Upepo wa AC umenipiga nmelala sijaoga.ila nmeshangaa hata wife hakusema kitu.

Sina harufu ya jasho kbisa.leo nmeenda duka husika nmezibeba hizo Fa 30. Maana nmezunguka sana before kupata Fa zenyewe za ukweli.
Mwanaume unapakapaka madude kwenye makwapa,mwanaume unatumia gwanji tu,inatosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume unapakapaka madude kwenye makwapa,mwanaume unatumia gwanji tu,inatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hizi secret deodorants zimejaa fake kibaoo ukipata og utafurahi unanukia tu kwapa hata ukitoka kwenye mizunguko ukaoga bado tu utaisikia inanukia,cha misingi ue na sehemu moja unayoiamini uwe unanunua hapo hapo kila mara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom