Hizi Castle Lite zinazotoka South Africa ni tamu balaaa

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
776
Nipo hapa Morogoro kwenye baa fulan hivi.

Nimeagiza castle LITE
ikaja moja ambayo kifuniko chake unaweza kukifungua na mkono. sio lazima utumie opener.

Kuionja ni tamu balaa, yaaani tangu nimeanza kunywa bia.

Sijawahi kunywa bia tamu kiasi hiki imebidi kuichunguza chupa yeke.

Naona imetoka South Africa
swali ya kujiuliza kwanini TBL wameshindwa ku maintain hiii quality ya hii bia?
 
Nipo hapa Morogoro kwenye baa fulan hivi. nimeagiza castle LITE
. ikaja moja ambayo kifuniko chake unaweza kukifungua na mkono. sio lazima utumie opener.
kuionja ni tamu balaa. yaaani tangu nimeanza kunywa bia. sijawah kunywa bia tamu kiasi hiki
imebidi kuichunguza chupa yeke. naona imetoka south africa
swal ya kujiuliza kwanini TBL wameshindwa ku maintain hiii quality ya hii bia?

Kwa leo hiyo ni bia ya ngapi mkuu??
 
Halafu sasa ikiwa ya baridi vizuri label inakuwa ya blue.........dah.....ningejua ningekuja kukupa company.........
 
Back
Top Bottom